Wapendwa, A. Siku kama ya leo 09 Juni mnamo mwaka 2013 Huduma ya JESUS GLORY ilianza IBADA za INJILI DAY katika Huduma yake ya KUFIKA KUSIKOFIKIWA. Mgeni rasmi katika ibada hii alikuwa Askofu Mwinjilisti Moses Kulola. Hii ilikuwa IBADA yenye lengo na ina lengo la kueleza mambo muhimu mawili (2): 1. Injili inaweza kufanya nini (what Gospel can do!) au umuhimu wa Injili. 2. Kutoa SADAKA Maalumu kwaajili ya kupeleka INJILI kwa WASIOFIKIWA na Injili. B. Leo, sisi wote hapa pamoja tunaombwa tumshukuru Mungu kuwa tangu kuanza IBADA hizi zimefanyika kila mwaka tangu wakati huo. C. Ubarikiwe uliyeweza kushiriki Kumwabudu Mungu na; katika miaka hii tisa (9) uliyemletea Mungu watu Wamwabudu. D. Ibada ya INJILI DAY mwaka huu ilifanyika siku ya tarehe 14 Machi ikiwa ibada ya TISA (9) E. Huduma ya Jesus Glory yenye malengo ya KUMLETEA MUNGU WATU WAMWABUDU ilianza mwaka 2001 ambapo ilifanya mikutano ya kwanza minne (4) mfulululizo ya INJILI katika maeneo manne (4) tofauti tangu 21 Agosti 2001 - 15 Septemba 2001. F. Katika miaka hii, mwaka wa 2021 ukiwa mwaka wa 21 tangu kuanza kwa Huduma hii, roho za watu wengi zimeokolewa na wengi wamekutana na Yesu. G. Aidha, katika kipindi hiki, tunajua baadhi ya watu wa Mungu watendaji na waliohubiriwa walipata 'promotion' wakaitwa na Bwana. H. Nakuomba ndugu mpendwa, tumia muda wa leo 09 Juni 2021 kwa unyenyekevu MSHUKURU MUNGU KWA MSAADA WAKE KATIKA KUMTUMIKIA na mengine mengi utakayoyakumbuka. Margareth Kamugisha Mkurugenzi. (Mwanzilishi) Jesus Glory. 0754 96 77 28
Vivamus convallis
Integer faucibus magna vitae augue suscipit a varius sem scelerisque. Nunc scelerisque tempus nunc in euismod. In sagittis congue sodales. Cras sit amet est nibh. Suspendisse eget ligula in nulla iaculis interdum nec a odio. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Cras massa odio, facilisis tincidunt blandit semper, lacinia semper dui. Donec viverra eros quis urna congue facilisis. Vivamus convallis imperdiet porta. Aliquam a nisi risus, vitae faucibus sem.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nulla convallis egestas rhoncus. Donec facilisis fermentum sem, ac viverra ante luctus vel. Donec vel mauris quam. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nulla convallis egestas rhoncus. Donec facilisis fermentum sem, ac viverra ante luctus vel. Donec vel mauris quam.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nulla convallis egestas rhoncus.
